iqna

IQNA

Fatima Zahra SA
Ahul Bayt (AS)
IQNA - Idadi kadhaa ya maqari au wasomaji Qur'ani Tukufu kutoka Iraq na nchi nyingine watashiriki katika programu ya usomaji wa Qur'ani Tukufu katika Haram Tukufu ya Imam Ali (AS) huko Najaf, Iraq.
Habari ID: 3478134    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/01/02

IQNA- Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ameshiriki kikao cha maombolezo ya kukumbuka siku aliyokufa shahidi Bibi Fatimatu-Zahra (SA), binti kipenzi wa Bwana Mtume Muhammad SAW na mke wa Amirul Muuminin Ali bin Abi Talib (AS), Imamu na Kiongozi wa Waislamu baada ya Mtume (SAW).
Habari ID: 3478047    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/12/17

Mawaidha
IQNA-Amani iwe juu yako Ewe Fatma Zahra mwanamke bora wa duniani na Akhera, Bibi wa wanawake wa peponi, Mtukufu as-Sidiqah at-Tahirah Fatimatuz Zahra (Salaamullahi Alayha). Ni matumaini yangu kuwa mtakuwa nami hadi mwisho wa kipindi hiki maalumu kutegea sikio yale niliyokuandalieni kwa leo.
Habari ID: 3478046    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/12/17

Ahul Bayt wa Mtume Muhammad SAW
TEHRAN (IQNA)- Rais wa Iran amemtaja Bibi Fatimatu-Zahra SA, binti kipenzi wa Bwana Mtume Muhammad SAW kama kigezo cha mwanadamu na shakhsia mashuhuri aliyeleta mageuzi katika historia ya jamii ya wanaadamu.
Habari ID: 3476314    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/27

TEHRAN (IQNA). Sherehe za Mazazi ya Bibi Fatima Zahra SA hivi karibuni zimewaleta pamoja Waislamu na wapenzi wa Ahul Bayt wa Mtume SAW katika katika Markaz Mafaatihul Jinaan, Kiguza, Mkuranga, Pwani nchini Tanzania.
Habari ID: 3471854    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/02/26